Spektra ya Ugonjwa wa Tawahudi KARATASI YA UKWELI Autism Spectrum Disorder Fact Sheet (Swahili) Spektra ya tawahudi (Spektra ya ugonjwa wa akili wa watoto) ni nini? Spektra ya tawahudi (spektra ya ugonjwa wa akili wa watoto) (ASD) ni ulemavu wa ukuaji unaosababishwa na matatizo ya kiakili. Wanasayansi bado hawajui hasa kinachosababisha matatozi haya kwa watu wengi walio na ASD. Hata hivyo, baadhi ya watu walio na ASD wana matatizo yanayojulikana, kama vile hali ya kijenetiki. Kuna sababu nyingi zinazosababisha ASD, ingawa nyingi bado hazijulikani. Huwa hakuna kitu kinachohusu jinsi watu walio na ASD wanakaa kinacho watofautisha na watu wengine, lakini wanaweza kuwasiliana, kuingiliana, kuwa na tabia tofauti na kujifunza kwa njia zilizotofauti na watu wengine. Uwezo wa kujifunza, kufikiria, na utatuzi wa tatizo wa watu walio na ASD unaweza kulingana kutoka kwa wenye kipaji hadi walioathirika sana. Baadhi ya watu walio na ASD wanahitaji msaada zaidi maishani mwao; wengine wanahitaji msaada kidogo. Ubainishaji wa ASD sasa unajumuisha hali kadhaa zilizokuwa zinabainishwa kando: ugonjwa wa akili, ugonjwa wa ukuaji unaoenea kote ambao bado haujabainishwa (PDD-NOS), na ugonjwa wa Asperger. Hali hizo zote sasa zinajulikana kama spektra ya ugonjwa wa akili. Baadhi ya dalili za ASD ni zipi? Watu walio na ASD mara kwa mara huwa na matatizo ya kijamii, mhemuko, na mawasiliano. Wanaweza kurudia tabia fulani na huenda wasitake mabadiliko katika utaratibu wao wa kila siku. Watu wengi walio na ASD pia wana njia tofauti za kujifunza, kuwa makini, au mwitiko wao kwa mambo. Dalili za ASD huanza wakati wa utotoni na humuathiri mtu maishani mwake mwote. Watoto au watu wazima walio na ASD huenda: . wasilenge kitu kwa kidole ili waonyeshe kuwa wanavutiwa (kwa mfano, wasilenge ndege inayopita juu yao) . wasiangalie vitu wakati mtu mwingine anavilenga kwa kidole . wawe na tatizo la uingilianaji na watu wengine au wasivutiwe kabisa na watu wengine . waepuke kuangaliana macho kwa macho na watake kuwa peke yao . wawe na tatizo la kuelewa hisia za watu wengine au kuzungumza kuhusu hisia zao . wasitake kushikiliwa au kukumbatiwa, au wanaweza kukumbatiwa wanapotaka tu . waonekane kama hawajui wakati watu wanazungumza nao, lakini wanajibu sauti za vitu vingine . wavutiwe na watu sana, lakini wasijue kuzungumza, kucheza, au kuingiliana nao . warudie maneno au misemo wanayoambiwa, au warudie maneno au misemo badala ya lugha ya kawaida . wawe na tatizo la kuelezea mahitaji yao kwa kutumia maneno au ishara za kawaida . wasicheze michezo ya “kuigiza” (kwa mfano, wasiigize kwamba “wanalisha” mtoto wa bandia) . warudie vitendo mara kwa mara . wawe na tatizo la kuzoea utaratibu mpya mambo yanapobadilika . kuwa na mwitiko tofauti wa vile vitu vinanuka, kuonja, kuonekana, vinavyohisi, au kusikika . wakapoteza ujuzi waliokuwa nao (kwa mfano, kuwacha kusema maneno waliyokuwa wanatumia) Ni nini ninachoweza kufanya ikiwa ninadhania mtoto wangu ana ASD? Zungumza na daktari au muuguzi wa mtoto wako. Ikiwa wewe au daktari wako anadhani kunaweza kuwa na tatizo, agiza kwamba mtumwe kwa daktari wa ukuaji wa watoto au mtaalamu mwingine. Wakati huohuo, wasiliana na uajenti wako wa karibu wa ukaguzi wa mapema (kwa watoto walio na umri chini ya miaka 3) au shule ya umma ya karibu (kwa watoto walio na umri wa miaka 3 na kuendelea), hata kama mtoto wako huwa haendi shule hiyo. Ili ujue utakayezungumza naye katika eneo lako, wasiliana na Kituo cha Taarifa cha Kitaifa kwa Watoto na Vijana Walio na Ulemavu (National Information Center for Children and Youth with Disabilities) kwa kuingia kwenye www.nichcy.org. Zaidi ya hayo, Vituo vya Udhibiti na Uzuiaji Ugonjwa (Centers for Disease Control and Prevention) una viungo kwenye ukurasa wake wa tovuti ya Spektra ya Ugonjwa wa Kiakili kuhusu taarifa kwa familia (http://www.cdc.gov/ncbddd/autism/links.html). Usisubiri. Kuchukua hatua mapema kunaweza kuwa na manufaa makubwa! www.cdc.gov/actearly | 1-800-CDC-INFO Elewa Dalili. Chukua Hatua Mapema Hoja informativa sobre el trastorno del espectro autista (TEA) ¿Qué son los trastornos del espectro autista? Los trastornos del espectro autista (TEA) son discapacidades del desarrollo causadas por diferencias en el cerebro. Los cientIficos a6n no saben con exactitud qué causa estas diferencias en la mayorIa de las personas con TEA. Sin embargo, algunas personas con estos trastornos tienen una diferencia conocida, como una afección genética. Los TEA tienen m6ltiples causas, pero la mayorIa a6n se desconoce. Por lo general, no se puede notar ninguna diferencia en el aspecto de una persona con TEA, pero es probable que tenga maneras de comunicarse, interactuar, comportarse y aprender distintas a las de la mayorIa de las personas. Las aptitudes mentales y la capacidad de aprendizale de quienes tienen TEA, asI como su capacidad para resolver problemas, pueden variar; hay desde personas talentosas hasta otras con problemas muy serios. Algunas personas con TEA necesitan mucha ayuda en su vida cotidiana; otras requieren menos. En la actualidad, el diagnóstico de los TEA incluye varias afecciones que antes solIan diagnosticarse por separado: el trastorno autIstico, el trastorno generalizado del desarrollo no especificado de otra manera (PDD-NOS, por sus siglas en inglés) y el sIndrome de Asperger. Todas estas afecciones se llaman ahora trastornos del espectro autista. ¿Cuáles son algunos de los signos de los TEA? Las personas con TEA a menudo tienen problemas sociales, emocionales y de comunicación. También es probable que repitan ciertas conductas y que no quieran cambiar sus actividades diarias. Muchas personas con TEA también tienen diferentes maneras de aprender, prestar atención o reaccionar ante las cosas. Los signos de los TEA comienzan en la primera infancia y perduran toda la vida de una persona. Puede que los niños o adultos con TEA: • No señalen obletos para mostrar interés (por elemplo, puede que no señalen un avión que pase volando). • No miren los obletos que otra persona señala. • Tengan problemas para relacionarse con otros o no estén interesados en otras personas para nada. • Eviten mirar a los olos y prefieran estar solos. • Tengan problemas para comprender los sentimientos de otras personas o para expresar sus propios sentimientos. • Prefieran que no los abracen o permitan que lo hagan solo cuando ellos lo desean. • Aparenten no percatarse cuando las personas les hablan, pero respondan a otros sonidos. • Estén muy interesados en otras personas, pero no sepan cómo hablarles, lugar o establecer contacto con ellas. • Repitan palabras o frases que se les digan, o repitan palabras o frases en vez de usar la forma normal del lenguale. • Tengan problemas para expresar sus necesidades mediante palabras o movimientos tIpicos. • No lueguen a imitar a los grandes (por elemplo, puede que no lueguen a darle de “comer” a una muñeca). • Repitan las mismas acciones una y otra vez. • Tengan problemas para adaptarse a cambios en la rutina. • Reaccionen de forma extraña a la manera en que las cosas huelen, saben, se ven, se sienten o suenan. • Pierdan las destrezas que en alg6n momento tuvieron (por elemplo, puede que delen de decir palabras que estaban usando anteriormente). ¿Qué puedo hacer si creo que mi hijo tiene TEA? Hable con el médico o enfermero de su hilo. Si usted o su doctor piensan que podrIa haber un problema, pida que remitan a su hilo a un pediatra especializado en desarrollo infantil o a otro especialista. Al mismo tiempo, comunIquese con su agencia local de intervención temprana (para niños menores de 3 años) o con su escuela p6blica (para niños de 3 años o más), aun cuando su hilo no vaya a ese establecimiento. Para averiguar con quién debe hablar en su área, visite el sitio web del Centro Nacional de Diseminación de Información para Niños con Discapacidades (NICHCY, por sus siglas en inglés) en http://nichcy.org/espanol. Además, los Centros para el Control y la Prevención de Enfermedades (CDC) también tienen información para las familias en su página web sobre los trastornos del espectro autista (http://www.cdc.gov/ncbddd/Spanish/autism/links.html). INo espere! IReaccionar pronto puede hacer una gran diferencia! www.cdc.gov/pronto | 1-800-CDC-INFO Aprenda los signos. Reaccione pronto.